4-EQUALIZER SIO CROSSOVER! MSINGI WA MUHIMU KUFAHAMU ILI KUEPUKA KUUNGUZA SPIKA ZAKO - BENSON MSECHU
Автор: Beem Media
Загружено: 2025-07-03
Просмотров: 2216
Описание:
Watumiaji wengi hapa nchini Tanzania hasa Makanisani huwa wanatumia Powered Mixer na hivyo kwa kuwa lengo langu ni kuinua uwezo wa wadau hawa kuboresha usikivu na ulinzi wa vifaa vya Muziki ili viwe na maisha marefu, imenilazimu kutumia vifaa hivi kwenye mfululizo huu.
Endapo ungependa kupata kitabu cha Kutawala Vifaa vya Muziki basi usisite kuwasiliana nami kwa namba hapo chini.
Benson Msechu
Mwanishi wa Kitabu,Mshauri na Mkufunzi kwenye Maswala ya Kutawala Vifaa vyako vya Muziki.
Phone: +255 752025991
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: