3 MBINU YA KULINDA SPIKA ISIUNGUE ILIYOUNGANISHWA NA POWERED MIXER KUPITIA CROSSOVER - BENSON MSECHU
Автор: Beem Media
Загружено: 2025-06-25
Просмотров: 2796
Описание:
Watumiaji wengi wamekuwa wakipitua changamoto ya kuunguza spika mara kwa mara kwa kukosa mwongozo sahihi wa kulinda spika iliyoungwa kwenye Powered Mixer.
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea kuunguza spika kama vile kutumia amplifaya kubwa sana ukilinganisha na uwezo wa spika yako ila kwenye hii video nimejikita kwenye sababu ya uunguzaji wa spika unaotokana na uunganishaji usio sahihi.
Mhandisi Benson Msechu anatoa mwongozo wa kivitendo wa kuepuka uharibifu wa spika.
Benson Msechu,
Mwandishi wa Vitabu, Mkufunzi na Mshauri wa Kutawala Vifaa vya Muziki na Akustiki.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: