ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

TAZAMA NAMNA UMO ILIVYOFANYA TUKIO KUBWA LA HURUMA NA UPENDO DODOMA

Автор: WASHINDI MEDIA

Загружено: 2026-02-20

Просмотров: 23

Описание: #serikali #subscribe #newsupdate #washindimediaupdates #africa #subscribemychannel #subscribenow #tanzania #dodoma #orphan #washindi #serikali
Taasisi ya Maendeleo na Uchumi (UMO) imeungana na wadau mbalimbali jijini Dodoma kutoa msaada na kuonesha matendo ya huruma kwa watoto yatima katika Kituo cha Rahman Orphanage Centre kilichopo Chang’ombe, ikiwa ni sehemu ya kuenzi mwezi mtukufu wa Ramadhani sambamba na Kwaresma.

Akizungumza leo Februari 20, 2026 jijini Dodoma kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Mhe. Alhaj Jabir Shekimweri, mwakilishi wake Kassim Jonjolo aliipongeza UMO kwa juhudi zake za kusaidia wahitaji na kuhamasisha taasisi nyingine kuiga mfano huo.

Alisisitiza kuwa matendo ya huruma hayapaswi kufanyika wakati wa vipindi maalum vya kiimani pekee, bali yawe sehemu ya maisha ya kila siku.

“Tunapenda kuipongeza UMO kwa kazi kubwa wanayoifanya. Tunaendelea kuhamasisha taasisi nyingine kuungana nao, kwani vituo vya watoto yatima ni vingi hapa Dodoma na vinahitaji msaada wa kila mmoja wetu,” alisema Jonjolo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Rahman Orphanage Centre, Rukia Hamisi Abdallah, aliishukuru UMO kwa kuandaa tukio hilo maalum na kusaidia watoto waliopo kituoni hapo. Alieleza kuwa kituo hicho kina watoto 120, wengi wao wakipatiwa mafunzo ya kujiajiri hususan katika sekta ya kilimo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
TAZAMA NAMNA UMO ILIVYOFANYA TUKIO KUBWA LA HURUMA NA UPENDO DODOMA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

ITAKUUMIZA ! HAWANA UWEZO WA KUONA KILE WALICHOSAIDIWA || WALEMAVU WA MACHO WASAIDIWA IFTAR SWAIM

ITAKUUMIZA ! HAWANA UWEZO WA KUONA KILE WALICHOSAIDIWA || WALEMAVU WA MACHO WASAIDIWA IFTAR SWAIM

MUONEKANO WA MJI WA KITELELA MSALATO JIJINI DODOMA UTAKAPOKAMILIKA

MUONEKANO WA MJI WA KITELELA MSALATO JIJINI DODOMA UTAKAPOKAMILIKA

БЕДНАЯ ДЕВУШКА СТАЛА ЖЕНОЙ МИЛЛИОНЕРА — НО ОДИН ДЕНЬ ИЗ ПРОШЛОГО РАЗРУШИЛ ИХ СЧАСТЬЕ | МЕЛОДРАМЫ HD

БЕДНАЯ ДЕВУШКА СТАЛА ЖЕНОЙ МИЛЛИОНЕРА — НО ОДИН ДЕНЬ ИЗ ПРОШЛОГО РАЗРУШИЛ ИХ СЧАСТЬЕ | МЕЛОДРАМЫ HD

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Wanajeshi feki walivyoingia kwenye 18 za Polisi Dodoma

Немцы и евреи: ДНК раскрыла тайну, которую скрывали 80 лет

Немцы и евреи: ДНК раскрыла тайну, которую скрывали 80 лет

BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, YALIFANYA JIJI LA DODOMA KUWA NA MVUTO MKUBWA

BARABARA YA MZUNGUKO DODOMA, YALIFANYA JIJI LA DODOMA KUWA NA MVUTO MKUBWA

HABARI KUBWA KUTOKA KWA WAZIRI WA ELIMU “TUTACHUJA VIZURI, TUTAHAKIKISHA UTARATIBU UNANYOOKA

HABARI KUBWA KUTOKA KWA WAZIRI WA ELIMU “TUTACHUJA VIZURI, TUTAHAKIKISHA UTARATIBU UNANYOOKA"

🔴# Nyimbo Kuu za mikutano ya Net Event 2019 - 2021: Dodoma Central Online TV (SUBSCRIBE)

🔴# Nyimbo Kuu za mikutano ya Net Event 2019 - 2021: Dodoma Central Online TV (SUBSCRIBE)

🤯МЕГАСКАНДАЛ в СТУДИИ Соловьева. ШАХНАЗАРОВ ПУБЛИЧНО ОПУСТИЛ Путина. Их ТЕПЕРЬ закроют?

🤯МЕГАСКАНДАЛ в СТУДИИ Соловьева. ШАХНАЗАРОВ ПУБЛИЧНО ОПУСТИЛ Путина. Их ТЕПЕРЬ закроют?

МЕССИНГ НАЗВАЛ 7 СТРАН КОТОРЫЕ ИСЧЕЗНУТ! Вы будете в шоке!

МЕССИНГ НАЗВАЛ 7 СТРАН КОТОРЫЕ ИСЧЕЗНУТ! Вы будете в шоке!

Siri ya UTAJIRI kupitia SACCOS: USIKOPE kabla ya kutazama video hii!

Siri ya UTAJIRI kupitia SACCOS: USIKOPE kabla ya kutazama video hii!

Rais Kikwete alipoendesha vikao vya CCM vya uteuzi wa Mgombea Urais Dodoma

Rais Kikwete alipoendesha vikao vya CCM vya uteuzi wa Mgombea Urais Dodoma

IRAN ITASHINDA VITA DHIDI YA ISRAEL KUPITIA VITA VYA MUDA MREFU SEHEMU YA PILI

IRAN ITASHINDA VITA DHIDI YA ISRAEL KUPITIA VITA VYA MUDA MREFU SEHEMU YA PILI

Mwanachama Chama cha Ushirika wa Wafugaji Kiluvya (CHAWAKIM)

Mwanachama Chama cha Ushirika wa Wafugaji Kiluvya (CHAWAKIM)

HABARI KUBWA KUTOKA CHAKUHAWATA!  YAFICHUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WALIMU NCHINI.

HABARI KUBWA KUTOKA CHAKUHAWATA! YAFICHUA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WALIMU NCHINI.

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI- WANAWAKE TPSC WATEMBELEA GELEZA LA WANAWAKE SEGEREA.

KUELEKEA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI- WANAWAKE TPSC WATEMBELEA GELEZA LA WANAWAKE SEGEREA.

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

Жириновский: остатки Ирана и Турции войдут в состав России! Воскресный вечер с Соловьевым. 13.05.18

MPOKI KAMKAMATA BROTHER K AKITAKA KUIBA

MPOKI KAMKAMATA BROTHER K AKITAKA KUIBA

LIFTI YA UMEME SGR NA MATUMIZI YAKE.

LIFTI YA UMEME SGR NA MATUMIZI YAKE.

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]