MCHUNGAJI WA MTAA AJIFUNZA LUGHA YA ALAMA || PR. SAGUDA MATHIUS
Автор: IJUE LUGHA YA ALAMA TV
Загружено: 2025-12-14
Просмотров: 174
Описание:
Huduma wezeshi ya kiadventista APM inaendelea kutoa elimu na hamasa juu ya Lugha ya Alama Kwaajili ya kuwasaidia watu wa Rika zote kuweza kuwasiliana na Ndugu zetu wenye Uziwi Kwa kutumia Lugha ya Alama
Miongoni mwa mahali walipoona Umuhimu wa hii huduma ni Mtaa wa Mbweni beach SDA wameamua kufanya hii huduma, Kwa Lengo la Utume likihusisha Watoto, vijana na watu wazima.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: