SIKU YA UZINDUZI WA DARASA LA LUGHA YA ALAMA | MTAA WA MBWENI BEACH SDA CHURCH | 12/10/2026
Автор: IJUE LUGHA YA ALAMA TV
Загружено: 2025-10-13
Просмотров: 289
Описание:
Hakika hii ni Miongoni mwa Huduma yenye Umuhimu Mkubwa katika jamii ikiwazingatia Ndugu zetu wenye Uziwi Kwa kujifunza Lugha Yao ya Alama.
Kanisa la waadventista wa Sabato Mtaa wa Mbweni Beach SDA Church wamezindua Elimu hii ya Alama ili iwasaidie kujua namna ya Kuwasiliana na Viziwi Kwa Lugha ya Alama
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: