MAMBO 5 yatakayokuwezesha KUSIKIA SAUTI YA MUNGU
Автор: King David Tz
Загружено: 2023-04-04
Просмотров: 21082
Описание:
Mambo 5 yatakayokuwezesha kusikia SAUTI YA MUNGU. Wengi tunatamani Mungu aongee na sisi lakini kiuhalisia, tunakosa vigezo vya kuisikia sauti yake. Wengine huamini kuwa Mungu hasemi na watu, ila video hii itakufundisha njia ambazo Mungu hutumia kusema na watu wake na pia itakupa mambo 5 ambayo ukiyafanya utafanikiwa kuisikia sauti ya Mungu Kwa ufasaha.
Karibu!
Muandishi: @davidtry4ne
Sauti; @davidtry4ne
Production: @davidtry4ne
Camera: @
Follow:
/ davidtry4ne
Timecodes
0:00 -
0:00 - Njia ambazo Mungu hutumia kuzungumza
2:54 - #1: Mtumikie Mungu
5:20 - #2: Tamani hisia za rohoni
8:57 - #3: Uwe na Roho Mtakatifu
11:43 - #4: Ishi & lala ndani ya hekalu la Bwana
13:39 - #5: Ijue sauti ya Mungu
Contact: David Tryphone Rutaihwa
[email protected]
+255621324701
#gospel #yesu #biblia #mungu #tanzania #neno #kenya #uganda
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: