Msichana aliyedhaniwa kufariki amerejea nyumbani Kisii
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-09-19
Просмотров: 36751
Описание: Msichana aliyedhaniwa kufariki na kuzikwa miezi minane iliyopita aliduwaza kijiji kizima huko Nyaribari Chache baada ya kurejea nyumbani akiwa buheri wa afya. Sarah Kwamboka alijitokeza baada ya mazishi yake kuandaliwa mwezi Februari mwaka huu, baada ya kuripotiwa kuhusika kwenye ajali ya barabarani.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: