Msichana aliyedhaniwa kufariki aibukia Kisii
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2025-09-18
Просмотров: 37829
Описание: Msichana aliyedhaniwa kuzikwa miezi minane iliyopita ameduwaza kijiji kizima huko Nyaribari Chache baada ya kurejea nyumbani akiwa mzima. Sarah Kwamboka amejitokeza baada ya mazishi yake kuandaliwa mwezi Februari mwaka huu, baada ya kuripotiwa kuhusika kwenye ajali ya barabarani.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: