PENDO NJAU: "Nilijisikia Kufa Nikiwa Na PIGANA Ulingoni"
Автор: Global TV Online
Загружено: 2019-08-31
Просмотров: 3532
Описание:
PENDO NJAU: "Nilijisikia Kufa Nikiwa Na PIGANA Ulingoni"
Pendo Njau ni miongoni mwaakina mama ambao wamepigana ngumi kwa Mdaa Mrefu hapa Nchini na kuweka Rekodi ya kitofauti katika masumbwi.
Pendo ambaye kwa sasa anajishugulisha na uwamuzi wa mapambano ya Ngumi Nchini ameeleza ni jinsi gani alivyo achana na mambo hayo na Kuingia kuwa Muambuzi.
Mpiganaji na Mwamuzi wa mchezo wa ngumi nchini, Pendo Njau amewataka wazazi kuendeleza kukuza vipaji wanavyogundua kwa watoto kwa maslahi ya Taifa kwa ujumla.
Akizungumza na Global TV Pendo ameeleza kusikitishwa na baadhi ya wazazi ambao hawatoi fursa kwa watoto kutambua na kuendeleza vipaji walivyonavyo.
Katika hatua nyingine Pendo ameeleza furaha yake baada ya kuchezesha pambano la Mkanda wa Ngumi Kati ya Idali Mchanjo na Tony Rashidi.
#MASUMBWI
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: