Makosa haya 5 hatari ya ISO setting yanavyoharibu picha zako❌
Автор: Josephkileka
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 150
Описание:
.Je, unatumia ISO vibaya bila kujua na kuharibu picha zako? 😮📸
Katika video hii, nakushirikisha makosa 5 hatari ya ISO setting ambayo wapiga picha wengi hufanya na kusababisha picha kuwa na noise nyingi, kupoteza details, au kuonekana zisizo na ubora.
Utajifunza:
✅ ISO ni nini na inafanya kazi vipi
✅ Jinsi ya kuepuka noise kwenye picha
✅ Namna ya kuchagua ISO sahihi kulingana na mazingira ya mwanga
✅ Siri za kupata picha safi na zenye ubora wa juu
Kama wewe ni beginner au tayari unajifunza photography, video hii itakusaidia kuboresha ubora wa picha zako mara moja.
.
.
.
.
.
.
.
.
.Karibu kwenye channel yangu ya JOSEPHKILEKA Tunafundisha upigaji picha, kushoot video, na content creation kwa lugha rahisi ya Kiswahili.
🔔 *SUBSCRIBE* sasa hivi na *bonyeza kengele* 🔔 kupata video mpya kila wiki!
📢 *Ungana nami kwenye mitandao ya kijamii:*
• Instagram: [@josepkileka]
https://www.instagram.com/josephkilek...
• TikTok: @josepkileka]
https://www.tiktok.com/@josephkileka?...
#UpigajiPicha #Videography #ContentCreation #YouTubeKiswahili #josephkileka #tanzaniaphotographer #pichabora #kameranzuri #socialmedia #contentcreator
Je, unahitaji msaada wa **kubinafsi zaidi kwa aina maalum ya video? Au unataka mafunzo na kujua ambacho haujakielewa Nipo tayari kukusaidia! 😊
namba ni 0756801694
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: