uzipozijua SETTING hizi 3 muhimu huwezi kupata picha na video kali🤔
Автор: Josephkileka
Загружено: 2025-06-18
Просмотров: 1715
Описание:
.katika video hii utajifunza kwa undani kabisa kuhusu setting muhmu za camera yoyote ile iwe CANON, NIKON, LUMIX, AU SONY na camera yoyote ambayo ni professional setting izo ni ISO, Aperture na Shutter speed. ambazo zitakupa picha yenye sharpness nzuri na muonekano wa picha nzuri.
tunaongelea
.ISO ni nini na ina athiri vipi picha zako.?
.Aperture hufanya kazi gani kwenye kamera.?
.Shutter speed inaathiri vipi mwangaza na motion.?
.hii ni video muhimu kwa wapiga picha wanaoanza au hata wanaotaka kurudia misingi ya picha.
.
.
.
.
.
.
#UpigajiPicha #iso #ContentCreation #josephkileka #settingzacamera #pichabora #aperture #shutterspeed #nikonsetting #canonsetting #sonysetting
Je, unahitaji msaada wa **kubinafsi zaidi kwa aina maalum ya video? Au unataka mafunzo na kujua ambacho haujakielewa Nipo tayari kukusaidia! 😊
namba ni 0756801694
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: