Nafasi za kazi Viwandani na Kampuni 2026/2027
Автор: Mswax Info
Загружено: 2025-07-21
Просмотров: 4495
Описание:
kazi nyingi za viwandani na kampuni haziwekwi mitandaoni hizi kazi zinahitaji uwafate wahusika direct nenda Moja Kwa Moja Kwa wahusika asilimia kubwa ya hizi kazi hazipatikani online inahitaji ufike Kwa wahusika direct
Hii video inakufundisha jinsi ya kupata kazi viwandani na kampuni hii ni research based video viwanda vingi haviweki kazi mitandaoni kwa nchi ya Tanzania
Usisahau ku subscribe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: