BARAZA LA WAFANYAKAZI TUME YA UTUMISHI WA MAHAKAMA
Автор: Tume ya Utumishi wa Mahakama (JSC)
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 39
Описание: Kikao cha Baraza la Wafanyakazi Tume ya Utumishi wa Mahakama kilichofanyika tarehe 13 Februari, 2026, kilicholenga kujadili masuala mbalimbali ya ustawi wa watumishi, kuongeza ufanisi wa kazi na kuimarisha utendaji wa taasisi. Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Baraza na Katibu wa Tume ya Utumishi wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: