Tanzania yaanza mchakato wa kupata chanjo dhidi ya VVU
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 148
Описание:
Tanzania ipo katika mazungumzo na taasisi ya Global Fund ili kuhakikisha inapata na kusambaza chanjo ya Lenacapavir, inayotumika kama kinga ya muda mrefu dhidi ya maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), ambapo inatolewa kwa sindano mara mbili kwa mwaka.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: