Rais Samia ashiriki ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Umoja wa Mataifa jijini New York
Автор: Simulizi Na Sauti
Загружено: 2021-09-21
Просмотров: 11843
Описание: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Jumanne hii ameshiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) unaofanyika Jijini New York, Marekani
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: