Simulizi Na Sauti
Karibu Simulizi na Sauti kampuni ya maudhui mtandaoni inayotikisa Afrika
Ilianzishwa tarehe 31 Mei, 2017 na Fredrick Bundala, mwanahabari mashuhuri katika Afrika Mashariki, dhamira yetu ni kuwapatia watazamaji wetu maudhui ya ubora wa juu na yenye mvuto mkubwa.
Simulizi na Sauti ni mojawapo ya chaneli za YouTube zinazokua kwa kasi zaidi barani Afrika. Maudhui yetu yanagusa mada mbalimbali ikiwemo habari, burudani, maisha ya kila siku na mengineyo, na yanawasilishwa na timu ya waandishi na watangazaji wa kitaalamu.
Hapa Simulizi na Sauti, tunajivunia uandishi wetu wa uchambuzi na wa kuaminika, na tumejikita kuhakikisha tunawafikishia watazamaji wetu taarifa za karibuni na sahihi kabisa.
Ungana na mamilioni ya watazamaji ambao wameifanya Simulizi na Sauti kuwa chaneli ya tano inayoangaliwa zaidi kwenye YouTube nchini Tanzania (kipengele cha Habari na Burudani), na ujionee ubora wa maudhui ya mtandaoni.
Usisahau kubonyeza kitufe cha Subscribe ili uendelee kupata video zetu zote mpya!
Bunge la Tanzania kuanza November 11, latoa ratiba zaidi ya kitakachoenda kufanyika
Mzaliwa wa Uganda Zohran Mamdani achaguliwa kuwa Meya wa Kwanza Muislamu wa Jiji la New York
Kusah awachana wasanii wa TZ: Tuliwatelekeza wananchi kwa tamaa ya pesa, kuandika RIP haisaidii
Soggy Doggy: Kuna baadhi ya watu wanahukumiwa sababu tu ni maarufu na mimi ni mmoja wao
Ndaro: Hakuna kazi ngumu kama kuwa msanii Tanzania, kabla ya kutuhumu fikirieni haya kwanza..
Chemical awataka watanzania wasiwasamehe wasanii "usaliti huu msiusahau, naona aibu kujiita msanii"
Nay wa Mitego atoa neno kwa yaliyotokea Tanzania, atoa pole kwa wafiwa
Diamond atupiwa lawama na kuulizwa maswali magumu na watanzania baada ya kuwapa pole na kuomba amani
Papa Leo XIV: Tusali pamoja kwaajili ya Tanzania
Lulu: Dear Tanzania, TUMEKUKOSEA NA TUMEKUFELISHA, hatuna budi kukubali hivyo
Jux na mkewe Priscilla watoa neno kwa waliopoteza maisha Tanzania wakati wa machafuko, waandika haya
Dizasta Vina afunguka "Mabadiliko ni gharama" awalilia waliopoteza ndugu zao | Maua Sama watoa pole
Rayvanny, Marioo na Lavalava waiombea amani Tanzania na kutoa pole kwa waliopoteza wapendwa wao
Ray C atoa swali gumu kwa wasanii Tanzania kwa yanayoendelea "Mnajisikiaje mioyoni mwenu" kupromote
Emmanuel: Kila nipokuwa nikisikia risasi nilitaka kutoka nje kuangalia, mke wangu alinifungia ndani
Amri ya kutotoka nje baada ya saa 12 yaondolewa, Vodacom yaeleza itakachofanya kufidia vifurushi
Paula alia pamoja na Watanzania waliopoteza ndugu,jamaa na marafiki, Atoa pole za dhati kwa wote
Bahati: Nimepata uoga ambao sijawahi kuupata, nilikuwa siwezi hata kulala
Zuchu na Nandy watoa neno kwa yaliyotokea Tanzania, watoa pole kwa waliopoteza ndugu na kuomba amani
SADI: Nimepitia uchungu, kwa siku 5 tumeishi maisha ya Analogy, tulikuwa tunajipanga mstari dukani
Frank Lachman: Kupanda haraka kwa Gharama ya chakula na mahitaji muhimu kumenitisha sana
Jacob Giantman: Kwenye maisha yangu sikuwahi kuwaza kuna siku ntakuwa nimekaa ndani tu
Creez: Kwa mara ya kwanza nimekaa siku 5 ndani bila kutoka nje ya mlango, nilikumbwa na upweke mzito
Enky Frank: Nimekula maharage siku 5, sikuwa naoga, nimeshuhudia mlio wa risasi ambayo imenikosa
Uchaguzi Tanzania: Polisi waonya wanaosambaza video za zamani kutengeneza taharuki
SUDAN: Nchi za Kiarabu zalaani mauaji ya kinyama ya wanamgambo wa RSF mjini el-Fasher
Israel yaua 90 baada ya kushambulia Gaza, mwili wa Mtanzania aliyeuliwa na Hamas bado wakwama
Israel yashambulia Gaza baada ya Netanyahu kuagiza mashambulizi ‘makali’
Irene Uwoya achekwa mtandaoni kwa miwani aliyovaa, Awachekesha wasanii na mashabiki watoa maoni yao
Suma Mnazareti amchana Diamond " Hamuwezi Roma Mkatoliki, Kama unaweza mtoe namba 1 trending"