MAPINDUZI YA OTHMAN BIN AFFAAN 03
Автор: Haki Kwa Dalili
Загружено: 2025-08-04
Просмотров: 382
Описание: Katika sehemu hii ya Tatu inaonesha jinsi gani yalitokezea baina ya Masahaba na Khalifa Othama Allah awaridhie, na vipi Khalifa aliingia katika kugawa mali na vyeo kwa familia yake, na mfano wa hayo ni moja ya mapeo aliyoyapata Mshauri na Mwandishi wake Bina Ami yake Marwaan bin Al Hakam Bin Abi Al Aasi pale alipompa mali nyenye yenye thamani ya Tani 2.125 kwa njia ya kumsamehe.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: