MAPINDUZI YA OTHMAN BIN AFFAAN 01
Автор: Haki Kwa Dalili
Загружено: 2025-07-28
Просмотров: 345
Описание:
Ni jambo mashuhuri katika tarekhe ya Waislamu kuwa Khalifa wa Tatu Othman bin Affaan alimaliza uhai wake kwa kuuliwa baada ya kuzingirwa kwa zaidi ya siku 40 katika Mji mkuu wa Dola ya Kiislamu zama hizo.
Mapinduzi hayo yalifanyika mwaka wa 35 Hijiria baada ya kufa Mtume Muhammad S.A.W. kwa miaka 25 tu.
Katika sehemu hii ya kwanza tutaona kuwa Mapinduzi hayo yaliongozwa na Masahaba, na kuwa kiongozi wake alikua ni Sahaba Ridhwaanii aitwae Abdurahman bin Udais Al Balawi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: