ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Serikali Yafafanua Sheria Mpya Kuhusiana na Madini

Автор: Global TV Online

Загружено: 2017-07-21

Просмотров: 6880

Описание: SUBSCRIBE NOW:    / uwazi1  
Serikali kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Profesa James Mdoe, imetangaza marekebisho kadhaa katika sheria mpya kuhusu sekta nzima ya madini na majukumu yake.
SUBSCRIBE NOW:    / uwazi1  
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Prof. Mdoe, miongoni mwa mambo muhimu, alisema kupitia marekebisho ya sasa ya fedha na kodi, mtu au kampuni inayotaka kusafirisha madini nje itabidi madini hayo yakaguliwe na kutathminishwa na atalipa ada ya ukaguzi (clearing fee) ambayo ni asilimia moja ya thamani ya madini anayosafirishwa.
Kwa mchimbaji mdogo anayetumia broker au dealer licence, atakatwa asilimia tano ya thamani ya madini kama kodi ya zuio (withholding taxi) ambayo itakusanywa na broker au dealer huyo na kupelekwa kwenye mamlaka ya mapato nchini (TRA).
Pia alisema kwamba pamoja na kufutwa kwa wakala wa ukaguzi wa madini (TMAA) pamoja na ofisi za madini za kanda (zonal mine offices), wafanyakazi wa idara hizo ambazo ni taasisi ya serikali, wataendelea na ajira zao ambapo watatumiwa kushughulikia mambo mbalimbali katika Wizara ya Nishati na Madini chini ya Kamishna wa Madini.
SUBSCRIBE NOW:    / uwazi1  
Kazi zao zitakuwa ni pamoja na kukusanya maduhuri ya serikali (royalties) yanayotakana na madini ya ujenzi na madini ya viwandani, kuhakiki vocha za malipo ya mrabaha . Pia ni kusimamia uchimbaji ya migodi ya wachimbaji wakubwa, wa kati na wadogo.
Majukumu mengine ni kukagua marudio ya uchimbaji madini uliokwishafanyika, kukagua mipakani, viwanja vya ndege na bandari ili kudhibiti utoroshwaji wa madini. Kupokea tozo na kutoa mafunzo kwa wachimbaji wadogo.
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK:   / globalpublishers  
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpublishers  

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Serikali Yafafanua Sheria Mpya Kuhusiana na Madini

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'

Lissu afunguka kuhusu madini 'Mungu anasikia.. mtaniambia'

SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAKABIDHIWA ENEO LILILOKUWA LINAMILIKIWA na WFP -SASA KUWA KITUO CHA MIZIGO

SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAKABIDHIWA ENEO LILILOKUWA LINAMILIKIWA na WFP -SASA KUWA KITUO CHA MIZIGO

Unaifahamu sera ya madini? Sheria je? Kamishna wa Madini, Dkt. Mwanga anatufungua.

Unaifahamu sera ya madini? Sheria je? Kamishna wa Madini, Dkt. Mwanga anatufungua.

Makala: Tazama Wachimbaji wa Madini wanavyo amini na kutumia nguvu za Giza katika kazi zao.

Makala: Tazama Wachimbaji wa Madini wanavyo amini na kutumia nguvu za Giza katika kazi zao.

Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka

Tundu Lissu Aliamsha Dude Sakata la Mikataba ya Madini, Bunge Lachafuka

BREAKING: Sheria Mpya Uchimbaji wa Madini ya 'TANZANITE' - Mh Biteko

BREAKING: Sheria Mpya Uchimbaji wa Madini ya 'TANZANITE' - Mh Biteko

IJUE SHERIA YA MADINI, SURA YA 123

IJUE SHERIA YA MADINI, SURA YA 123

TLS kupendekeza sheria za madini kwa wachimbaji wadogo

TLS kupendekeza sheria za madini kwa wachimbaji wadogo

🔴#Live: RAIS TRUMP ANAPOKEA MIILI ya WANAJESHI wa MAREKANI WALIOUAWA KWA MAKOMBORA ya IRAN....

🔴#Live: RAIS TRUMP ANAPOKEA MIILI ya WANAJESHI wa MAREKANI WALIOUAWA KWA MAKOMBORA ya IRAN....

ISRAEL YAISHAMBULIA KWA NGUVU TEHRAN -YALIPUA VITUO VITATU VIKUBWA VYA MAFUTA -IRAN YAAPA KUJIBU

ISRAEL YAISHAMBULIA KWA NGUVU TEHRAN -YALIPUA VITUO VITATU VIKUBWA VYA MAFUTA -IRAN YAAPA KUJIBU

UFAFANUZI kuhusu marekebisho ya Sheria ya Madini ya 2010

UFAFANUZI kuhusu marekebisho ya Sheria ya Madini ya 2010

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 07.03.2026 | TV Republika

Dzisiaj Informacje Telewizja Republika 07.03.2026 | TV Republika

TBC 1: SHERIA Mpya ya Madini ya Mwaka 2017 Yavutia Wawekezaji

TBC 1: SHERIA Mpya ya Madini ya Mwaka 2017 Yavutia Wawekezaji

TANZANIA YAPATA CHETI CHA KUSAFIRISHA MADINI NJE YA NCHI

TANZANIA YAPATA CHETI CHA KUSAFIRISHA MADINI NJE YA NCHI

UNAAMBIWA: “KISHERIA MADINI YAKIKUTWA ARDHINI KWAKO NI MALI YA UMMA

UNAAMBIWA: “KISHERIA MADINI YAKIKUTWA ARDHINI KWAKO NI MALI YA UMMA"

У Путина ОБЪЯВИЛИ о КРАХЕ

У Путина ОБЪЯВИЛИ о КРАХЕ "СВО"! Немедленное ЗАЯВЛЕНИЕ диктатора: Он ПРИЗНАЛ КАТАСТРОФУ из-за ТРАМПА

FAHAMU TOFAUTI YA LESENI ZA BIASHARA KUNDI A NA B

FAHAMU TOFAUTI YA LESENI ZA BIASHARA KUNDI A NA B

⚡️Кремль ПРИЗНАЛ КАПИТУЛЯЦИЮ после УДАРОВ Трампа! Лавров ВЗБЕСИЛСЯ. США обьявили НОВОЮ ВОЙНУ. ЛУЧШЕЕ

⚡️Кремль ПРИЗНАЛ КАПИТУЛЯЦИЮ после УДАРОВ Трампа! Лавров ВЗБЕСИЛСЯ. США обьявили НОВОЮ ВОЙНУ. ЛУЧШЕЕ

Waziri wa Mafuta wa Oman alivyolonga Kiswahili kama Mbongo IKULU

Waziri wa Mafuta wa Oman alivyolonga Kiswahili kama Mbongo IKULU

TAZAMA KOMANDO HUYU ALIVYO MUOGOPESHA RAIS SAMIA/ATOKEA NA MAVAZI YA KUTISHA/MIAKA 60 YA JWTZ

TAZAMA KOMANDO HUYU ALIVYO MUOGOPESHA RAIS SAMIA/ATOKEA NA MAVAZI YA KUTISHA/MIAKA 60 YA JWTZ

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]