ISRAEL YAISHAMBULIA KWA NGUVU TEHRAN -YALIPUA VITUO VITATU VIKUBWA VYA MAFUTA -IRAN YAAPA KUJIBU
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-03-07
Просмотров: 16563
Описание:
ISRAEL YAISHAMBULIA KWA NGUVU TEHRAN -YALIPUA VITUO VITATU VIKUBWA VYA MAFUTA -IRAN YAAPA KUJIBU
Ndege za kivita za Israel zimefanya mashambulizi makali ya anga dhidi ya maghala matatu makubwa ya kuhifadhia mafuta pamoja na mitambo ya kusafisha mafuta katika mji mkuu wa Tehran nchini Iran, katika kile kinachoelezwa kuwa hatua mpya ya kuongeza shinikizo kwa serikali ya Tehran.
@ONESMO SANGALALI - DAR
=================================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: