Wazee wa makabila manne makuu ya wilayani Kiteto wakubaliana kumaliza migogoro ya ardhi
Автор: ITV Tanzania
Загружено: 2017-02-15
Просмотров: 3093
Описание: Wazee wa makabila manne makuu ya wilayani Kiteto mkoani Manyara yamemhakikishia waziri mkuu Mhe.Kassimu Majaliwa kwamba hakutakuwa na mapigano yatakayotokana na migogoro kati ya wakulima na wafugaji mara baada ya kuridhiana kwa kuchinja kondoo na kuku ili kukubaliana kutafuta amani ya kudumu,huku waziri mkuu akiwataka viongozi wa serikali kutatua mgogoro wa mpaka kati ya wilaya za Kiteto na Chemba.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: