KOROGWE DC YATENGA MILIONI 500 KWENYE MIRADI YA WANANCHI
Автор: AMASHI TV
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 78
Описание:
KOROGWE
Ikiwa Ni Sehemu Ya Dhamira Yake Ya Kuimarisha Maendeleo Ya Wananchi, Halmashauri Ya Wilaya Ya Korogwe Imetenga Shilingi Milioni Mia Tano, Sawa Na Asilimia 20 Ya Bajeti Ya Mapato Yake Halisi, Kwa Mwaka Wa Fedha 2026/2027.
Hayo Yamebainishwa Makuyuni Februari 03,2026 Na Mwenyekiti Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Korogwe Seleman Mwongozo, Alipokuwa Akiwasilisha Makisio Ya Mpango Wa Bajeti Wa Halmashauri Hiyo Kwa Mwaka 2026-2027 Kwenye Kikao Cha Baraza La Madiwani.
Akichangia Katika Baraza Hilo, Diwani Wa Kata Ya Mgwashi Yusufu Kallage, Ameshauri Miradi Ya Mwaka Uliopita Iwekewe Mkazo Ili Iweze Kukamilika Na Kuwanufaisha Wananchi, Huku Diwani Wa Kata Ya Magamba Kwalukonge Hosea Mbilinyi Akiomba Nguvu Bajeti Hiyo Itupie Jicho Changamoto Ya Maji Katika Maeneo Ya Kata Yake Ambayo Inakabiliwa Na Changamoto Ya Ukame
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: