MBUNGE AGUSWA NA JITIHADA ZA MADAKTARI WA MAGUNGA, AWAUNGA MKONO
Автор: AMASHI TV
Загружено: 2026-01-09
Просмотров: 49
Описание:
KOROGWE
Katika Kuhakikisha Anatambua Jitihada Na Mchango Wa Madaktari Wa Hospitali Ya Halmashauri Ya Mji Korogwe-Magunga Kwenye Kuihudumia Jamii, Mbunge Wa Jimbo La Korogwe Mjini Cpa. Charles Mhando Njama, Ameunga Mkono Ujenzi Wa “Walk Way” Kutoka Jengo La Dharula(Emergency) Kwenda Wodini Ulioanzishwa Na Madaktari Wa Hospitali Hiyo Kwa Kushirikiana Na Baadhi Ya Wadau, Ikiwa Ni Sehemu Ya Kurejesha Kwa Jamii Kile Walichobarikiwa.
Njama Ameunga Mkono Juhudi Hizo Za Madaktari Alipofanya Ziara Katika Hospitali Ya Magunga Na Kujionea Jitihada Hizo, Ambapo Amechangia Shilingi Milioni Moja Katika Ujenzi Huo Unaotarajiwa Kugharimu Jumla Ya Shilingi Milioni Tatu nukta sita.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: