Wafanyibiashara wa eneo la Dina mjini Webuye wamelalamikia kukithiri kwa visa vya uhalifu eneo hilo
Автор: MUMBO ONLINE TV
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 7
Описание:
MWakaazi na wafanyibiashara katika eneo la Dina mjini Webuye wamelalamikia kukithiri visa vya vya uhalifu hali wanayodai imechangiwa na kuzima kwa taa za usiku eneo hilo. Wakizungumza baada ya kuhudhuria mkutano wa kufunguliwa tena kwa vyoo vya soko la dina vilivyokuwa vimefungwa kwa muda ,wakaazi hao wamesema kuwa wanapitia changamoto kuendeleza shughuli zao za kawaida kutokana na giza ambayo hushuhudiwa eneo hilo hasa baada ya taa za eneo hilo kuzima na hivyo kuitaka serikali ya kaunti ya Bungoma kuingilia kati na kuhakiksha kuwa taa hizo zinawaka.
Kutokana na hali hiyo serikali ya kaunti ya Bungoma kupitia msimamizi wake katika kaunti ndogo ya Webuye magharibi Ben Masika imeahidi kushughulikia swala hilo na kuhakikisha kuwa wakaazi hao na wafanyibiashara wanaendeleza shughuli zao katika mazingira mema.
Kwa upande wake OCS wa kituo cha polisi cha Matisi Michael Orita aliyehudhuria hafla hiyo akiwataka wakaazi wa eneo hilo kushirikiana na maafisa wa polisi na kuwatambua wahalifu ambao anadai hujificha miongoni mwao. INSERT…OCS MWISHO
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: