Stalled water project in Bumula Bungoma restarted after ten years
Автор: MUMBO ONLINE TV
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 124
Описание:
Mradi wa maji uliopaniwa kuwafaa Wakazi wa wadi za West Bukusu, Siboti na Kimaet kwenye Eneobunge la Bumula katika kaunti ya Bungoma kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita na ukakwama umeanzishwa tena.
Wakazi wanasema kuwa wamehangaika kwa muda mrefu kutafuta maji safi, na mradi huo unaogharimu serikali kwa ushirikiano wa Lake Victoria North Water Works Development Agency (LVNWWDA) zaidi ya shillingi million mia saba, utawafaa pakubwa
Akizungumza baada ya kuzindua ujenzi wa awamu ya pili, mbunge wa eneo hilo Wamboka Wanami amewatai wakazi kushirikiana na uongozi wa sasa kuhakikisha kuwa Maendeleo yanafanikisjwa kwa wakati ufaao.
Christopher Were kutoka Lake Victoria North Water works Development Agency, anasema mradi huko utakapokamilika utasambazwa zaidi kilomita arubaini na mbili ili kuwafaa wakazi wa Bumula. . Natsup
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: