'Waha ni Wafanyabiashara na Wana hela' - Mkuu wa Wilaya Kasulu Kigoma
Автор: CLOUDSMEDIA
Загружено: 2022-02-23
Просмотров: 4810
Описание: "Uchumi wa Kasulu unategemea sana kilimo na biashara na Nature ya kabila la Waha ni wafanyabiashara na wengi wamejaaliwa kuwa na fedha. Unapozungumzia Kigoma kama mkoa na umapozungumzia 'centre' ya biashara ni Kasulu. Kwahiyo Kasulu kuna mzunguko mkubwa sana wa biashara na mzunguko mkubwa sana wa fedha zipo taarifa kwamba hata wanaofanya biashara sehemu zingine huwa wanakuja kufanya majumuisho ya biashara zao Kasulu. Unapozungumzia maendeleo ya kibiashara Kigoma huwezi kuiacha Kigoma" Mh. Col. Isaac Antony Mwakisu, Mkuu wa wilaya ya Kasulu, Kigoma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: