UZINDUZI WA KIWANDA CHA NGUZO ZA UMEME KASULU KIGOMA
Автор: Jacob Ruvilo
Загружено: 2019-12-29
Просмотров: 277
Описание:
Kigoma imepata fursa ya kupata kiwanda cha uzalishaji wa nguzo za umeme katika Wilaya ya Kasulu ambacho kimezinduliwa tar 21 Desemba na Waziri wa Nishati Dk Medard Kalema
Uzinduzi huo wa kiwanda cha kampuni binafsi ya Qwihaya General Insterprises Ltd unafanya nchi kuwa na viwanda tisa vya kuzalisha nguzo nchini ndani ya miaka minne
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: