NGUVU za VAZI la ELIYA za DHIHIRIKA kwa SUGUYE
Автор: PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Загружено: 2020-02-08
Просмотров: 1965
Описание:
"Akalitwaa lile vazi la Eliya lililomwangukia, akayapiga maji, akasema, Yuko wapi Bwana, Mungu wa Eliya? Naye alipoyapiga maji, yakagawanyika huku na huku, Elisha akavuka. Na hao wana wa manabii, waliokuwako Yeriko wakimkabili, walipomwona, walisema, Roho ya Eliya inakaa juu ya Elisha. Wakaja kuonana naye, wakainama kifudifudi mbele yake." 2 Wafalme 2:14-15
Nguvu ya Mungu ipo kukuponya, ipo kukuweka Huru! Nakutangazia Uzima katika kila Mateso ya Kichawi, FUNGUKA katika Jina la Yesu Kristo.
Tukutane Jumapili hii kwenye Ibada ya KINABII kuanzia saa 1:00 asubuhi ndani ya Kanisa la WRM lililopo Kivule, Matembele ya Pili, Ukonga Jijini Dar es salaam, Tanzania.
#Chief_prophet_suguye
#wrm_tv
#wrm_radio_app
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: