UNA ROHO YA UCHELEWESHWAJI?
Автор: PROPHET NICOLAUS SUGUYE
Загружено: 2022-05-11
Просмотров: 12026
Описание:
“Maana mimi ni Bwana; mimi nitanena, na neno lile nitakalolinena litatimizwa; wala halitakawilishwa tena; maana katika siku zenu, Ewe nyumba iliyoasi, nitalinena neno hilo na kulitimiza, asema Bwana MUNGU.” EZEKIEL 12:25.
Kuna roho za kuzimu zinazo sababisha watu kucheleweshwa mafanikio yao. Hizi roho uwa zinavyanzo vingi
Mfano:
Kuna roho za kucheleweshwa ambazo vyanzo vyake ni roho za kurithi (mizimu ) ambazo zinasababisha kucheleweshwa mafanikio ya mtu.
Pia kuna roho za “kichawi ” ambazo mtu anaweza kulogwa na akashangaa mambo yake yanazidi kucheleweshwa kwa namna isiyo ya kawaida. Pia kuna nguvu za majini ambazo zinaweza kuchelewesha mafanikio ya mtu.
Kucheleweshwa huku ni kwenye maeneo mengi, haya ni baadhi tu!
Join Us on Facebook@Prophet Nicolaus Suguye
Watch Us on YouTube@Prophet Nicolaus Suguye
Follow Us on Twitter@Prophet Nicolaus Suguye
Instagram@Prophet Nicolaus Suguye
Watch Us through Satellites:
Intelsat 20 Satellite
Degree 68.5 East
Downlink Frequency 1268,
Symbol Rate 30,000
Polarization-Vertical
FEC rate 2/3
and C-Band AFRICASAT-1 Satellite
Degree 46 East
Transponder: AFH11
FEC rate: 3/4,
Modulation: 8PSK
Downlink Polarization: Vertical
Frequency: 4120.3Mhz
Symbol rate:1200Ksps
For more information please call +255 655 448 116, +255 688 448 117 or +255 763 813 307 E-mail:[email protected]
We are praying for you. Every blessing declared on this Altar is YOURS. GOD BLESS YOU.
Share Your Testimony through WhatsApp Video on +255 673 117 117
Usisahau! Share, Like, Comment, na Subscribe video zetu ili uwe wa kwanza kupata mafundisho ya Chief Prophet Nicolaus Suguye.
We are receiving your prayer requests. Chief Prophet Suguye will pray for you. Every blessing declared on this Altar is YOURS. God bless you!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: