Jinsi Ya Kuanza kuCode kupitia VSCode Editor
Автор: Mohamed Hafidh Tz
Загружено: 2022-10-12
Просмотров: 1125
Описание:
Video hii nimekwenda kuonesha jinsi gani unaweza kufungua folder na files zako katika VSCode Editor na kuanza ku Code.
Tumetumia njia zisizopungua Tatu katika kuoneshana jinsi unavyoweza Kutengeneza Folder na files zako kwaajili ya kuanza project yako katika Visual studio code.
Endelea Kufuatilia CHannel yangu,
Ili usipitwe na Video nzuri kama Hizi.
Karibu sana!
#vscode #vscodeeditor#jifunzecode
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: