MAMA ALIYEZAA MTOTO ASIYE NA JINSIA AJITOA KUSAIDIA WATOTO "USITUPE MTOTO MLETE TUTAMLEA"
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2022-02-14
Просмотров: 4962
Описание:
Joyce Andrew ni Mama wa Watoto kadhaa ambapo mmoja kati ya Watoto wake alizaliwa akiwa hana jinsia yoyote, Joyce alipambana kutafuta ufumbuzi na akasafiri hadi India kwa zaidi ya mara tano bila mafanikio, Mtoto alipofika umri wa kubalehe ikatokea jinsia ya kiume ambayo ilikuwa imetailiwa tangu tumboni.
Mapambano ya kuzunguka kwenye Hospitali mbalimbali yalimkutanisha Joyce na Watoto mbalimbali wenye uhitaji ambao aliona anayo sababu ya kuwasaidia na ameamua kuanzisha Foundation inayoitwa Rehoboth Empowerement ambayo ipo Mpigi Magoe Dar es salaam ikiwa na lengo la kusaidia Watoto Wachanga waliofiwa na Wazazi wao au ambao Wazazi wao hawajiwezi.
"Kama una mpango wa kumtupa Mtoto leo usifanye hivyo mlete kwetu tutamlea, tunaomba support kwa Serikali na Wadau wengine ili tukikuze kituo chetu namba za kuwasiliana nasi ni 0687832131 au 0754280443"
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: