DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 11.03.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-03-11
Просмотров: 6142
Описание:
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 11.03.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast
Iran na Israel zimeendelea kushambuliana kwa makombora na droni, huku Tehran ikiongeza mbinyo wake kwenye sekta ya mafuta.
Shambulio la droni mjini Goma lamua raia mmoja wa Ufaransa.
Mafuriko Kusini mwa Ethiopia, 30 waangamia.
Mfanyabiashara na mwanasiasa wa siku nyingi wa nchini Tanzania Rostam Azizi amefanikiwa kuwa mbia mkuu wa kampuni ya vyombo vya habari ya Nation Media Group baada ya kununua hisa zote zinazomilikiwa na Wakfu wa Aga Khan wa Maendeleo ya Uchumi.
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: