WATU WAWILI WAFARIKI AJALI YA BASI NA LORI SHINYANGA
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2025-09-07
Просмотров: 6075
Описание:
Shinyanga. Watu wawili wamefariki dunia, huku wengine
wanne wakijeruhiwa katika ajali ya magari iliyotokea leo, Septemba 7, 2025, katika barabara kuu ya Isaka-Tinde mkoani Shinyanga.
Ajali hiyo ilihusisha basi la abiria aina ya Tata, mali ya kampuni ya Ally's, likitokea Kahama kuelekea Bariadi mkoani Simiyu, kugongana uso kwa uso na lori (Fuso) lililokuwa likitokea Shinyanga kuelekea Kahama.
Kamanda wa Polisi mkoani Shinyanga, Janeth Magomi, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akisema ilitokea saa 11 jioni katika tarafa ya Itwangi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: