KIJANA MIAKA 17 AUAWA KWA KUCHOMWA NA KITU TUMBONI - KUNDI LA DAMU CHAFU na KABURI WAZI LAHOFIWA...
Автор: Global TV Online
Загружено: 2026-01-21
Просмотров: 1462
Описание:
KIJANA MIAKA 17 AUAWA KWA KUCHOMWA NA KITU TUMBONI - KUNDI LA DAMU CHAFU na KABURI WAZI LAHOFIWA...
@AIDAN FELSON - KATAVI
CC; BAKARI MAHUNDU
Kijana mmoja aliyefahamika kwa majina ya Hassan Shaban (17) mkazi wa Kigamboni, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi anadaiwa kuuwawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu ambao bado hawajafahamika.
Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo limetokea Januari 19. 2026 majira ya saa tatu usiku na kuwa marehemu alikuwa akikimbia huku akiomba msaada kabla ya kupoteza maisha.
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: