Bima ya afya kwa wote kuanza Alhamisi, NHIF yatangaza kujipanga kikamilifu
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2025-12-30
Просмотров: 6968
Описание:
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema umejipanga kuanza utekelezaji wa mpango wa 'Bima ya Afya kwa Wote' unaotarajiwa kuanza Januari Mosi, 2026 huku Mkurugenzi Mkuu (NHIF), Dkt. Irene Isaka akitoa ufafanuzi wa kina.
#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: