BIMA YA AFYA KWA WOTE KUANZA JUMATATU IJAYO, WAZEE NA WENYE ULEMAVU KUNUFAIKA
Автор: ufmradiotz
Загружено: 2026-01-23
Просмотров: 288
Описание:
Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa ametangaza kuanza rasmi kwa awamu ya kwanza ya utekelezaji wa Bima ya Afya kwa wote Jumatatu ijayo ambapo utahusisha makundi maalumu yasiyo na uwezo wakiwemo wazee na watu wenye ulemavu kama anavyoeleza Ahmadi Ally
Mhariri | @rajjmsangi
#UFMUpdates
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: