ADAIWA KUPIGWA ROBA HADI KUFA NA ABIRIA WAKE
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-03-15
Просмотров: 148
Описание:
TABORA: Kijana mmoja anayejulikana kwa jina la Kimwaga Rashidi Kimwaga (40), mkazi wa Bomba Mzinga Manispaa ya Tabora, athibitishwa na Jeshi la polisi kuuawa baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akifanya kazi yake ya usafirishaji kwa pikipiki (boda boda).
Akizungumza kuhusu tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora SACP. Richard Abwao amesema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Machi 15, 2026 majira ya saa nane katika eneo la Miembe Mingi, Kata ya Mbugani, Manispaa ya Tabora.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: