ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MUUAJI WA VIKONGWE, WAZEE ANASWA TABORA, "alikua anatishia uhai wetu"

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-10-02

Просмотров: 3544

Описание: Vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Tabora vimefanikiwa kumtia mbaroni mtuhumiwa wa mauaji ya vikongwe katika mkoa huo ambaye alikuwa akitafutwa kwa zaidi ya miaka 10 bila mafanikio ambapo amekamatwa wilayani Uyui mkoani humo.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ambaye ndiye mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa huo, amesema wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya vikongwe katika mkoa huo ambaye alikuwa akitafutwa tangu mwaka 2013.

Akizungumza na Mwananchi leo Jumatano Oktoba 2, Paul Chacha amesema mtuhumiwa huyo amekuwa akitafutwa kwa muda mrefu na hatimaye amekamatwa wilayani Uyui akijiandaa kutoroka baada ya wasamalia wema kutoa taarifa za uwepo wake.

“Yupo mtuhumiwa wa ujambazi ambaye alikuwa anakodiwa kuwaua vikongwe tangu mwaka 2013 vyombo vya ulinzi vimekuwa vikimtafuta bila mafanikio na kipindi hicho mauaji ya vikongwe hapa Tabora yalikithiri lakini ninavyosema leo tumeshamkamata na yuko kwenye mikono ya serikali akingojea sheria ichukue mkondo wake,“ alisema na kuongeza

“tulimkatama wilayani Uyui kijiji cha Kizenga, kinachofuata kwa sasa ni taratibu za kumfikisha mahakamani zinaendelea ili aweze kufikishwa mbele ya vyombo vya sheria ili aweze kujibu tuhuma zinazo mkabili katika kipindi chote ambacho alikuwa akijihusisha na mauaji kwa muda mrefu” alisema chacha

Hata hivyo RC Chacha amesema watu wengine watatu wamekamatwa kwa tuhuma za kuozesha watoto wadogo katika mkoa huo.

“watoto watatu wa familia moja waliozeshwa ambapo mtoto wa kwanza alilipiwa mahali ya ng’ombe 48 na mwingine akalipiwa ng’ombe 22 sasa waoaji na hawa wazazi tumewakamata na tumewafikisha kwenye vyombo vya sheria “ alisema

Katika hatua nyingine chacha amesema Serikali ya mkoa huo inafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha Amani inaendelea kuwepo katika mkoa huo jambo litakalowafanya wananchi wake wafanye kazi kwa uhuru muda wote.

Alipotafutwa Raphael Kinoji mkazi wa Mshikamano Tabora amesema kukamatwa kwa wahalifu hao kutasaidia watu kupumua.

“naipongeza vyombo vya usalama kwa kumkamata huyu muuaji wa vikongwe, sisi wazee tulikuwa hatuishi kwa Amani maana alikua anatishia uhai wetu kwakweli lakini sasa tutapumua kwakua ameshakamatwa”

Kwa upande wake Esta Philemon mkazi wa manispaa ya Tabora anasema serikali inatakiwa iendelee kuwasaka wahalifu kwakua kumkatama mtu mmoja hainamishi kwamba tatizo litapungua.

“nalipongeza jeshi la polisi na Mkuu wa mkoa kwa kumkamata huyo mtuhumiwa wa mauaji lakini nashauri kwamba wahalifu wengine waendelee kutafutwa kwakuwa mpaka kufikia hatua ya kuua hawezi kuwa peke yake, hivyo doria ziendelee ili wakamatwe wengine zaidi” amesema.

Alipotafutwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Richard Abwao kutaka kujua zaidi kuhusiana na kukamatwa mtuhumiwa huyo, amesema bado kuna uchunguzi unafanyika na ukikamilika taarifa zitatolewa.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MUUAJI WA VIKONGWE, WAZEE ANASWA TABORA, "alikua anatishia uhai wetu"

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Комиссия перечислила причины добровольной миграции в Нгоронгоро.

Комиссия перечислила причины добровольной миграции в Нгоронгоро.

VIDEO:TAZAMA HELIKOPTA ILIVYOTUMIKA KUWAONDOA TEMBO WAKOROFI WARUDI HIFADHINI

VIDEO:TAZAMA HELIKOPTA ILIVYOTUMIKA KUWAONDOA TEMBO WAKOROFI WARUDI HIFADHINI

DIDA ACHARUKA, ASHUSHA KICHAMBO WANAOMSEMA kwenye MAHUSIANO YAKE -

DIDA ACHARUKA, ASHUSHA KICHAMBO WANAOMSEMA kwenye MAHUSIANO YAKE - " SIOGOPI KUACHIKA"

Tazama jinsi timu ya YANGA ilivyotembelea Bustani ya Wanyamapori Tabora

Tazama jinsi timu ya YANGA ilivyotembelea Bustani ya Wanyamapori Tabora

MAKALA | Ukuaji wa kasi wa mji wa Tabora ndani ya miaka miwili

MAKALA | Ukuaji wa kasi wa mji wa Tabora ndani ya miaka miwili

WASIOJULIKANA WAVUNJA SANAMU YA MWALIMU NYERERE TABORA NA KUTOWEKA NA FIMBO

WASIOJULIKANA WAVUNJA SANAMU YA MWALIMU NYERERE TABORA NA KUTOWEKA NA FIMBO

HIZI HAPA CHANGAMOTO ZINAZOITESA HIFADHI YA NGORONGORO

HIZI HAPA CHANGAMOTO ZINAZOITESA HIFADHI YA NGORONGORO

JOHO WHO ARE YOU? KAZI YAKO NIKUUZA MADAWA, ANGRY GACHAGUA LECTURES JOHO BADLY!!

JOHO WHO ARE YOU? KAZI YAKO NIKUUZA MADAWA, ANGRY GACHAGUA LECTURES JOHO BADLY!!

RC TABORA AIKATAA MILIONI TANO YA MGOMBEA,

RC TABORA AIKATAA MILIONI TANO YA MGOMBEA, "ALITAKA NIMSAIDIE KUSHINDA KURA ZA MAONI"

Historia,  vivutio katika  mji wa  Tabora  - sehemu ya 1

Historia, vivutio katika mji wa Tabora - sehemu ya 1

Министр сделал заявление по поводу назначения президентом.

Министр сделал заявление по поводу назначения президентом.

Губернатор Бот объявляет об ограничениях для тех, кто использует доллары вместо шиллингов для аре...

Губернатор Бот объявляет об ограничениях для тех, кто использует доллары вместо шиллингов для аре...

WANANCHI KATAVI WALIA NA MWENYEKITI WA KIJIJI KWA KUWACHOMEA NYUMBA/KAMBI ZAO | MAZAO YAWAKA MOTO

WANANCHI KATAVI WALIA NA MWENYEKITI WA KIJIJI KWA KUWACHOMEA NYUMBA/KAMBI ZAO | MAZAO YAWAKA MOTO

AKUTWA MLIMA WA MAOMBO AMEFARIKI KWA KUNING'INIA JUU YA MTI, NDUGU WABAKI NA SINTOFAHAMU

AKUTWA MLIMA WA MAOMBO AMEFARIKI KWA KUNING'INIA JUU YA MTI, NDUGU WABAKI NA SINTOFAHAMU

САМИЯ: Нгоронгоро — это объект всемирного наследия, который необходимо защищать; правительство до...

САМИЯ: Нгоронгоро — это объект всемирного наследия, который необходимо защищать; правительство до...

HISTORIA YA MKOA WA TABORA UNAOPATIKANA NCHINI TANZANIA.

HISTORIA YA MKOA WA TABORA UNAOPATIKANA NCHINI TANZANIA.

UTATA! DAKTARI ALIYEKUTWA AMEFARIKI ALIACHA WOSIA HANA NDUGU AZIKWE TABORA - NDUGU WAJITOKEZA MOSHI

UTATA! DAKTARI ALIYEKUTWA AMEFARIKI ALIACHA WOSIA HANA NDUGU AZIKWE TABORA - NDUGU WAJITOKEZA MOSHI

HEBU SHUHUDIA UJENZI WA SOKO NA STENDI YA KISASA TABORA

HEBU SHUHUDIA UJENZI WA SOKO NA STENDI YA KISASA TABORA

TABORA: WANAFUNZI WANASWA WAKIJIREKODI PICHA ZA UTUPU SHULENI- RC CHACHA AAGIZA WATIMULIWE

TABORA: WANAFUNZI WANASWA WAKIJIREKODI PICHA ZA UTUPU SHULENI- RC CHACHA AAGIZA WATIMULIWE

Мощная речь Матианги, призывающая жителей Кении проголосовать за него на президентских выборах!!

Мощная речь Матианги, призывающая жителей Кении проголосовать за него на президентских выборах!!

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]