Hotuba kali ya Maalim Seif aliyoitowa Wingwi Pemba
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2020-09-30
Просмотров: 24858
Описание: Mgombea urais wa Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, ametumia hotuba yake ya kampeni katika majimbo ya Wingwi na Micheweni kisiwani Pemba kuwakemea vikali maafisa wa polisi, hasa OCD wa Micheweni, kwa kushirikiana na magenge ya kihuni kutesa watu wasiokuwa na hatia.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: