Je, ni kweli Othman Masoud hautaki muungano wa Tanganyika na Zanzibar? Msikilize mwenyewe afunguka!
Автор: Weyani Tv
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 8301
Описание: Mheshimiwa Othman Masoud ambaye kisiasa ni Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazelendo Taifa na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar katika awamu iliyopita ametimiza miaka mitano tangu aingie katika ulingo wa siasa. Alipokea kijiti kutoka kwa mtangulizi wake marehemu Maalim Seif Sharif Hamad mwezi Machi mwaka 2021. Kiongozi hiyo amefanyiwa mahojiano na vyombo vya habari kuhusu miaka mitano ya uongozi na uanasiasa na mojawapo ya hoja iliyojitokeza katika mazungungumzo hayo ni suala la muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Baadhi ya watu wanaitazama misimamo yake kama ni ya kutaka kuitenga Zanzibar na muungano. Mwenyewe anasemaje kuhusu suala hilo? Sikiliza majibu yake katika video hii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: