KESI ZOTE KUANZA KUSIKILIZWA KWA NJIA YA MTANDAO ZANZIBAR
Автор: ZANZIBAR YETU
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 1213
Описание:
Katika uimaridhaji wa utoaji haki Mahakama za Zanzibar zinatarajiwa kuanza rasmi kutumia mfumo wa uendeshaji wa mashauri kielektroniki (Electronic Case Management System - e - CMS).
Mfumo huo unatazamiwa kuwa utasaidia kuongeza ufanisi mkubwa wa Mahakama na kuleta faida kubwa kwa wananchi kwa kufuatilia kesi zao wakiwa nyumbani bila ya kulazimika kufika Mahakamani.
Mnamo Machi mwaka huu wa 2026 Mfumo huo unatarajiwa kuanza kutumia ambapo pamoja na mambo mengine utasaidia pia mashahidi kutoa ushahidi wao bila ya khofu hata kama hawatataka kufika mahakamani utawawezesha kutoa ushahidi wao popote watakapokuwa na vile vile itasaidia mwenendo wa kesi kusikiliza kwa haraka na kuondoka na matumizi ya makaratasi ambayo kwa kiasi kikubwa yanaonekana kuharibu mazingira
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: