WAZIRI ULEGA AAGIZA UJENZI WA HARAKA DARAJA LA DHARURA RUANDA
Автор: RUVUMA RS
Загружено: 2025-12-22
Просмотров: 44
Описание:
Waziri wa Ujenzi, Mhe. Abdallah Ulega, ameagiza ujenzi wa haraka wa daraja la dharura katika Mto Mnywa Maji, Kijiji cha Ruanda wilayani Mbinga, ili kuepusha athari zinazoweza kujitokeza kutokana na kukatika kwa daraja lililopo sasa.
Akiwa katika ziara yake mkoani Ruvuma ya kutembelea miundombinu ya barabara amesema daraja hilo ni tegemeo kubwa kwa wananchi wanaolitumia kwenda kwenye shughuli mbalimbali za kijamii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: