UPEPO MKALI WAEZUA NYUMBA 50 SONGEA - WATU SITA WAJERUHIWA
Автор: RUVUMA RS
Загружено: 2026-01-01
Просмотров: 22
Описание:
Watu sita wamejeruhiwa, na nyumba zaidi ya 50 kuezuliwa na kuanguka katika maeneo ya Songea Tanga, Masigira na Sanangura manispaa ya Songea baada ya mvua na upepo mkali kutokea Desemba 31, 2025.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Ruvuma Brig. Gen. Ahmed Abbas, ambaye pia ni Mwenyekiti Kamati ya Maafa, ametembelea maeneo, akitoa pole kwa waathirika na kuagiza tathmini ya haraka ifanywe na Kamati ya Maafa Wilaya ya Songea ili msaada wa serikali uharakishwe.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: