Mbunge Godbless Lema aitikia wito wa polisi
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-10-22
Просмотров: 3744
Описание:
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Lema leo amefika kwenye Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha kuitikia mwito uliomtaka kufika kwenye ofisi hizo kwa ajili ya Mahojiano
Mbunge huyo aliyekuwa ameambatana na Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoa wa Arusha Elisa Mungure alifika Polisi Majira ya Saa Nne na kuelekea kwenye Ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha SACP Ramadhan Ng'anzi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: