Manusura wa ukeketaji achukua hatua kulinda watoto wake dhidi ya FGM
Автор: Habari za UN
Загружено: 2026-02-09
Просмотров: 29
Описание:
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili
Baada ya yeye kukeketwa (FGM) na kufahamu madhara yake, Sadia Hussein aliamua kuchukua hatua pale alipojifungua mtoto wa kike na kuapa katu hatokubali aone mtoto yeyote wa kike anapitia mila hiyo dhalili na potofu.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: