Familia Gaza zinatafuta wapendwa wao kwa kuangalia picha za miili
Автор: Habari za UN
Загружено: 2026-02-06
Просмотров: 136
Описание:
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili
Huko Ukanda wa Gaza eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israel, wiki hii, mamlaka za Israel zimewasilisha miili 54 pamoja na mifuko 66 iliyosheni mabaki ya viungo vya binadamu ya Wapalestina waliopotea wakati wa vita. Na kutokana na kutokuwepo kwa mfumo madhubiti wa kisasa kupima vinasaba kutambua mwili upi ni wa nani inakuwa changamoto kubwa hususani kwa ndugu. Anold Kayanda na taarifa zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: