Jinsi ya Kupima(Mapping) Shamba la Mkulima kwa MazaoHub
Автор: MazaoHub
Загружено: 2022-09-18
Просмотров: 676
Описание:
Jifunze Hatua kwa Hatua Jinsi ya kupima Shamba lako or wakulima kwa kutumia MazaoHub.
Changamoto ya Traceability iliyokuwa inapigiwa kelele Afrika inaenda kupinduliwa na Mazao Hub. For the first time Mkulima ataanza kuonekana kokote duniani mpaka ramani ya shamba lake liko wapi , analima nini, ametumia nini, anategemea kuvuna lini in real time
Kupitia Mazao Hub, uka download APP yake, unazunguka kwenye shamba lako na hapo hapo unapata hesabu ya hekali za shamba lako. Hakuna kupima shamba kwa miguu tena. Naweza kujua field officers wangu kama wameenda shambani ama la kupitia location monitoring. Na kama wameenda shambani naweza kujua kama mbolea imefika shambani, kwani akipiga picha na kuingiza kwenye App ya mazao hub nitajua location ya picha hiyo kama ipo ndani ya shamba ama la. Kupitia Mazao Hub naweza kujua maendeleo ya shamba langu hatua kwa hatua kuanzia wiki ya kwanza mpaka msimu wote mpaka mavuno. Naweza kujua kama kuna mahali nilikosea hatua Fulani , nitajua wapi nilikosea nikashindwa kufikia kiwango Fulani cha mavuno. Iko hivi , Mazao Hub ni precision farming tool.
Mfumo wa Mazao Hub tayari umeshaanza kutumika na viwanda vikubwa Tanzania kusajili wakulima wao na kusimamia wakulima hao mpaka mavuno kwaajili ya viwanda vyao.
Vipo viwanda vinatumia mazao hub kwaajili ya crop collection, kwenye mazao hub kuna mfumo mdogo unaitwa Cotton Collection System unaotumika na viwanda vinne.
Huu ni muda wa watumiaji wa kwanza yaani wakulima wa mwanzo mmoja mmoja kuanza kutumia APP ya Mazao Hub. Wawekezaji wote wanaingia kuwekeza kwa wakulima wanaoweza ku monitor uwekezaji wao ndani ya Mazao Hub. Wanunuaji wote pamoja na exporters wanaingia kutumia Mazao Hub kununua mazao ya wakulima na ku monitor or ku trace uzalishaji wa mazao ya kila mkulima aliyejisajili ndani ya Mazao Hub.
download APP ya MazaoHub ambayo kwasasa ipo Google Playstore.
Ukikwama Wasiliana nasi kwa namba : 0655973248. Ukihitaji Partnership tucheki hapa : [email protected]
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: