Msichana Mjasiriamali Tanzania kupitia kilimo
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2018-09-28
Просмотров: 165140
Описание: Alianzia kilimo kwa kutegemea soko la nchi yake, lakini baadaye akakitanua kilimo chake na kuyalenga masoko ya kimataifa. Kwa sasa anauza mazao kama maharagwe na njegere hadi Ulaya. Ujumbe wake kwa vijana ni kwamba kuna fursa kila mahali
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: