Trela yawaangamiza watu 15 waliokuwa wakiokoa majeruhi wa ajali ya pikipiki
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-03-10
Просмотров: 10
Описание:
Watu 15 wameaga dunia kufuatia ajali iliyotokea katika eneo la Malaha kwenye barabara kuu ya kutoka Kitale kuelekea Webuye. Ajali hiyo ilitokea baada ya lori kupoteza mwelekeo na kuwagonga watu waliokuwa wakiwasaidia majeruhi wa ajali ya awali ya pikipiki.
Akithibitisha kisa hicho OCPD wa Webuye Rosemary Odeke amebaini kuwa takriban watu 28 wanaendelea kupokea matibabu katika hospitali ya moja katika eneo hilo.
Mary Kyalo na taarifa ile
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: