MRADI MKUBWA WA MAJI UNAOKWENDA KUMALIZA KERO YA MAJI MBINGA MJINI
Автор: KUSINI NEWS
Загружено: 2026-02-01
Просмотров: 21
Описание:
MRADI MKUBWA WA MAJI UNAOKWENDA KUMALIZA KERO YA MAJI MBINGA MJINI
Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni nne kutekeleza mradi mkubwa wa maji unaogharimu zaidi ya shilingi bilioni nne ili kutekeleza mradi wa maji katika Halmashauri ya mji Mbinga mkoani Ruvuma ambao unahudumia kata nane za mji wa Mbinga ambazo ni Mbambabay,Masuminu,Mbinga mjini,Lusonga,Betherehemu,Luhuwiko,Mbinga mjini B na Matarawe.
Kamati ya Siasa Mkoa wa Ruvuma ikiongozwa na Mwenyekiti wake Komred Oddo Mwisho imekagua mradi huo na kuwaagiza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mji wa Mbinga (MBIUWASA) kuhakikisha mradi unakamilika haraka ili wananchi waepukane na kero ya upungufu wa maji inayowakabili wananchi wa mji wa Mbinga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: